njang'et
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 758
- 227
Mdada wa kijeshi ndio anaweza..
anaweza kukurusha vichura pale unaposhindwa kufata maelekezo yake
Mdada wa kijeshi ndio anaweza..
anaweza kukurusha vichura pale unaposhindwa kufata maelekezo yake
kileleni ni juu ya mlima Kilimanjaro
Kilimanjaro ni mlima mrefu Africa
Africa imejaa wapenda kula na ngono wengi
Wengi hawajui walipotoka na wanapoenda!
Wanapoenda ni uzeeni wakitoka ujanani
Ujanani ndio kwenye shughuli maana unaandaa maisha ya uzeeni.
Uzeeni unacheza bao tu na kunywa kahawa!
Million kumi za mboga~~~~
Kahawa ina caffeine, siku hizi tunakunywa Tangawizi.
Tangawizi inalimwa kwa wingi same walikompiga chini Mama Ana Kilango.
Tangawizi inalimwa kwa wingi same walikompiga chini Mama Ana Kilango.
yake dudu hainifikishi kileleni
Kilango aliiandika namba na kuisoma mwenyewe
Mwenyewe walinishangaza sana, lakini apa kazi tu...!
tu..tu..tu.. mapigo ya moyo ndio yalivyokuwa yanadunda nilipokurupushwa leo guest nikimkaza mke wa mmoja wa member wa humu jf..nilikimbia kasi ya ajabu.
Ajabu ni kuwa mkeo huo muda alikua anakazwa na jirani