Polyxic
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 289
- 156
Magufuli John Pombe ccm kura....😀
Kura zilizoibiwa kesi yake inaendeleaje.?
Magufuli John Pombe ccm kura....😀
Kura zilizoibiwa kesi yake inaendeleaje.?
Inaendeleaje? Mbona Rais ashaapishwa!!!
Mambo....
Poa, unaharibu post ya watu! Ngoja waje!
Wakija usinitaje eeh
Hahahaa mzima weye?
Ulinchunia kule
Where? Nikumbushe tafadhali
Si kule pm...
Mh! Mbona sikuipata?
Basi kesho nitarudi tena
Owkey ....
Owkey wakati mmeharibu utaratibu..
Utaratibu naomba uendelee:thumbup:
Uendelee bila nyie mliouharibu kushughulikiwa???
Kushughulikiwa sijakataa ila naomba nishughulikiwe na mdada.