lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,199
- 28,080
Sheria ni msumeno, baby ni anaekupa raha ya moyo
Moyo unapewaje raha wakati uko kwa ndani??
Sheria ni msumeno, baby ni anaekupa raha ya moyo
Moyo huwa unaniuma kila nkimkumbuka lowassaSheria ni msumeno, baby ni anaekupa raha ya moyo
Moyo huwa unaniuma kila nkimkumbuka lowassa
Monduli kuna ng'ombe wake kule alisema ataenda kuchungaLowasa hakuna jinsi inabidi arudi Monduli
Moyo huwa unaniuma kila nkimkumbuka lowassa
Lowassa alichangamsha uchaguzi
Uchaguzi wa mwaka huu ulikua balaaLowassa alichangamsha uchaguzi
Uchaguzi wa mwaka huu ulikua balaa
Inakuuma nini kwani mi kumkumbuka lowassa?Kajiuuwe km inakuuma
Wengi tulimpenda sana, na alipokuepo tulikuepo piaBalaa hasa kwa vile Lowassa alikonga nyoyo za wengi
Wengi tulimpenda sana, na alipokuepo tulikuepo pia
Wengi tulimpenda sana, na alipokuepo tulikuepo pia
Kumpenda kupo pale palePia tutaendelea kumpenda
Sana sana tuzidi kumuombea lowassa wetu ili Mungu ampe maisha marefu maana uwepo wake ni faraja tosha kwetuPia tulimuamini Sana..
(Haaaaaa)
Baby wangu hayupo leo... wewe yupo baby??
Christ is our saviour, na kadri ya imani ya kikristu kifo chake msalabani ilikua ni kwa ajili ya ukombozi wetu sisi wanadamuKwetu pazuri waliimba ambassador of Christ
Christ is our saviour, na kadri ya imani ya kikristu kifo chake msalabani ilikua ni kwa ajili ya ukombozi wetu sisi wanadamu