njang'et
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 758
- 227
Kilango kapigwa chini kwa sababu wananchi walitaka Mabadiliko.
Mabadiliko ya mke yanaanza pale anapopata mchepuko kibaya zaidi awe shamba boy msimamia kucha.. hatari!
Kilango kapigwa chini kwa sababu wananchi walitaka Mabadiliko.
Ajabu ni kuwa mkeo huo muda alikua anakazwa na jirani
Jirani atakuwa noma sana, maana atakuwa anasimamia kama anasimamia baiskeli mlimani😀
Jirani atakuwa noma sana, maana atakuwa anasimamia kama anasimamia baiskeli mlimani😀
Mlimani ukipanda na baskeli kuna muda kama pumzi inakua kama inaisha
Inaisha kama huna mazoezi.
Mazoezi huwa nafanya na baby
Baby wako atakuwa anakuonea huruma usije ukakomaa bure akakosa ladha ya kike.
Valentina ni jina la member wa jf, name calling hairuhusiwi😱
Hairuhusiwi na nani?
Na nani?? Na Moderator!
Na nani?? Na Moderator!
Moderator waelewa hawawezi kunipa ban
Ban ni halali yako ili upumzike na baby.
Ban ni halali yako ili upumzike na baby.
(Haaaaaa)
Baby wangu hayupo leo... wewe yupo baby??
(Haaaaaa)
Baby wangu hayupo leo... wewe yupo baby??
Baby ndio kifungu gani cha sheria??