Kimambo jr
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 207
- 67
Mpenzi Asante maneno yako yananipa moyo
moyo hudunda mara sabini na mbili kwa dakika
Mpenzi Asante maneno yako yananipa moyo
Mpenzi Asante maneno yako yananipa moyo
Moyo wangu umekuchagua wewe.
Wewe ndio nataka unipe watoto
moyo hudunda mara sabini na mbili kwa dakika
Watoto wangapi unataka baby?
Baby wawili tu wanatosha kwa maisha ya sasa
Sasa njoo tulale
Tulale? Sema tukeshe maana nataka mapacha love
Haya maeneo yahitaji uwe mpole!
Dakika moja ina sekunde 60
60 ni miaka ya mzee serikalini
Ukiritimba unasababishwa na wala rushwa