rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,854
Ule mpaka tigooHuo si uchoyo ndugu tafuta pesa nawe ule..
Ule mpaka tigooHuo si uchoyo ndugu tafuta pesa nawe ule..
Ule mpaka tigoo
Vifurushi vya mizigo kea Sasa ni marufuku kusafirisha kea basi la abiria..Tigo wanazingua sana kweny vifurushi
Vifurushi vya mizigo kea Sasa ni marufuku kusafirisha kea basi la abiria..
Abiria ni muhimu kufunga mikandaVifurushi vya mizigo kea Sasa ni marufuku kusafirisha kea basi la abiria..
Mkanda wa magwanda uliregea ktk gwaride...Abiria ni muhimu kufunga mikanda
Mkanda wa magwanda uliregea ktk gwaride...
Uji wa ulezi ni lishe maridhawa na siha timamu..Gwaride la Tz linakunywa sana uji
Timamu tv ni online tv ipo YouTubeUji wa ulezi ni lishe maridhawa na siha timamu..
Tube iliyopo ndani ya pipeline inahimili presha nzito.Timamu tv ni online tv ipo YouTube
Nzito sana hii hali ya hewa ya leoTube iliyopo ndani ya pipeline inahimili presha nzito.
Leo ni ya kwako kesho haijulikani mustakabali tarajiwaNzito sana hii hali ya hewa ya leo
Simba kaamua kula majani makavu ...Tarajiwa kupokelewa leo baada ya mechi ya simba
Makavu live sikuhizi mtu yeyote anapewa akiwa anakoseaSimba kaamua kula majani makavu ...
Anakosea sana yule dada kutembea pekuMakavu live sikuhizi mtu yeyote anapewa akiwa anakosea
Peku peku hana viatu kwani?Anakosea sana yule dada kutembea peku
Kwani alipozama baharini hakuwa na boya ?Peku peku hana viatu kwani?
Boya kweli huyu jamaa aliegundua silahaKwani alipozama baharini hakuwa na boya ?