Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,406
- 2,413
Kimtaa mtaa kesho ni usafi wa jumla kila mwisho wa mweziSio ni kukataa ila hicho ndio kifupi chake kimtaa
Kimtaa mtaa kesho ni usafi wa jumla kila mwisho wa mweziSio ni kukataa ila hicho ndio kifupi chake kimtaa
mwezi huu nitalala tuKimtaa mtaa kesho ni usafi wa jumla kila mwisho wa mwezi
Tu ukijumlisha na lia unapata tuliamwezi huu nitalala tu
Tu ukijumlisha na lia unapata tulia
Tulia kea mpenzi mmoja utastarehe ..Tu ukijumlisha na lia unapata tulia
Leo NI sikukuu ktk calendar ya mwakaTulia Ackson amedhihirisha kabisa kulichukua jimbo kutokana na nyomi la leo.
Mwaka huu unaenda race balaaLeo NI sikukuu ktk calendar ya mwaka
Balaa la kimbunga kenneth lingekua sio dogoMwaka huu unaenda race balaa
Dogo mnazingua na vimbunga vyenu vya uongoBalaa la kimbunga kenneth lingekua sio dogo
Uongo sio wangu ila utakua wa mamlaka wa hali ya hewa nchiniDogo mnazingua na vimbunga vyenu vya uongo
Nchini Kuna mabadiliko ya tabianchi na Mazingira ya 4 Seasons !!Uongo sio wangu ila utakua wa mamlaka wa hali ya hewa nchini
seasons huwa zinakosewa na Mamlaka ya hali ya hewa hasa season ya mvuaNchini Kuna mabadiliko ya tabianchi na Mazingira ya 4 Seasons !!
Mvua hujikusanya na kuamrishwa na Muumba wapi zikanyeshe na kwa kiwango maalumu..seasons huwa zinakosewa na Mamlaka ya hali ya hewa hasa season ya mvua
Maalumu linaendana sana Maalimu usipotamka vizuriMvua hujikusanya na kuamrishwa na Muumba wapi zikanyeshe na kwa kiwango maalumu..
Swahiba wako ni hao tu mimi sio pamoja na kuzimua uzi?
Uzi huu unahitaji kufikirisha ubongo ili uutendee hakiSwahiba wako ni hao tu mimi sio pamoja na kuzimua uzi?
Haki ya nani kila nikija nikikuta umepoa nazimuaUzi huu unahitaji kufikirisha ubongo ili uutendee haki
Nazimua uSwahiba wote ilinikuenzi mwanangu Mpendwa..Haki ya nani kila nikija nikikuta umepoa nazimua