yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Lolote linaweza likatokea unapochukua maamuzi magumu
Pale nilipopita sikuona ilani au tangazo lolote.
Pale nilipopita sikuona ilani au tangazo lolote.
Magumu yanaweza epukika iwapo utaweza beba majukumu !!Lolote linaweza likatokea unapochukua maamuzi magumu
Majukumu ya hakimu ni kutoa hukumuMagumu yanaweza epukika iwapo utaweza beba majukumu !!
Hukumu hutolewa baada ya mashtaka kukamilikaMajukumu ya hakimu ni kutoa hukumu
Kukamilika kwa mchuzi viungo mtamu shart utie viungoHukumu hutolewa baada ya mashtaka kukamilika
Viungo vinaweza ongeza ladha asilia...Kukamilika kwa mchuzi viungo mtamu shart utie viungo
Asilia au asili ndio chimbuko la kituViungo vinaweza ongeza ladha asilia...
Kitu bila utu halina maana ktk ustaarabu...Asilia au asili ndio chimbuko la kitu
Ustaarabu hutegemea na maleziKitu bila utu halina maana ktk ustaarabu...
Malezi mazuri NI Kama shamba lenye virutubisho..Ustaarabu hutegemea na malezi
Malezi mazuri NI Kama shamba lenye virutubisho..
Asili ya binaadamu wanaSayansi wanasemaje?Virutubisho halisi vipo kweny vyakula vya asili
Asili ya binaadamu wanaSayansi wanasemaje?
Vithibitisho vilikuwepo mahakamani na ushuhuda ulikanusha !!Wanasemaje vp wakati hawatoi vithibitisho
Vithibitisho vilikuwepo mahakamani na ushuhuda ulikanusha !!
Mjane amekodisha Mwanasheria kutoka nchi jirani.Ulikanusha kesi ya madai dhidi ya mjane
Jirani ni ndugu hata kama akiwa mchawiMjane amekodisha Mwanasheria kutoka nchi jirani.
Mchawi na mwanga wote washirikinaJirani ni ndugu hata kama akiwa mchawi
Washirikina wanashirikiana sanaMchawi na mwanga wote washirikina
Sana ukiongeza "a" mwisho unapata neno sanaaWashirikina wanashirikiana sana