dtj
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,335
- 1,389
Sanaaa ya maigizo imekua dhaifuSana ukiongeza "a" mwisho unapata neno sanaa
Sanaaa ya maigizo imekua dhaifuSana ukiongeza "a" mwisho unapata neno sanaa
Dhaifu ya mtende si dhaifu ya kubeba nazi zakeSanaaa ya maigizo imekua dhaifu
Zake ni zake na zetu ni zetuDhaifu ya mtende si dhaifu ya kubeba nazi zake
Zetu siye ni dagaa nyama ni lakshari!Zake ni zake na zetu ni zetu
Luxury NI mfumo kiwango cha maMwinyi wa Pwani.Zetu siye ni dagaa nyama ni lakshari!
Hivi mwisho wa huu uzi ni lini
Lini utaijia ushindi wako utakapo tangazwa Bingwa?Hivi mwisho wa huu uzi ni lini
Stendi huwa Kuna mkusanyiko wa wasafiri !!Ni lini huu uzi utafika mwisho?
Alisikika akiuliza jamaa wa stendi.
Stendi huwa Kuna mkusanyiko wa wasafiri !!
Askari alikuwepo wakati mjadala na malumbano..Mkusanyiko wa wasafiri waliokosa usafiri,ulimpa taabu sana yule askari.
Askari alikuwepo wakati mjadala na malumbano..
Kufanya wajibu wake alisubiri wavunje sheria...Na akawa anaangalia tu,asijue nini cha kufanya.
Kufanya wajibu wake alisubiri wavunje sheria...
Chakechake ni mji mzuri Pemba upo pembezoni..Wavunje sheria!
Hapo ndipo wangekuwa wameamsha kichaa chake.
Pembezoni mwa ziwa nyasaaChakechake ni mji mzuri Pemba upo pembezoni..
Nyasaa ndiyo Nyasa au...!Pembezoni mwa ziwa nyasaa
Nyasa hili ziwa dagaa zake ni tamuPembezoni mwa ziwa nyasaa
Tamutamu Ndg Mpendwa Wala peke yako siuchoyo huo?Nyasa hili ziwa dagaa zake ni tamu
Huo si uchoyo ndugu tafuta pesa nawe ule..Tamutamu Ndg Mpendwa Wala peke yako siuchoyo huo?