life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Silaha Kali ni ulimi wako ukizungumza kwa makini..Boya kweli huyu jamaa aliegundua silaha
Silaha Kali ni ulimi wako ukizungumza kwa makini..Boya kweli huyu jamaa aliegundua silaha
Makini kweli joh, bila hivyo ulimi ni mkali kuliko bundukiSilaha Kali ni ulimi wako ukizungumza kwa makini..
Makini kweli joh, bila hivyo ulimi ni mkali kuliko bunduki
Tetema husababisha na harakati maridhawa..Bunduki gani au aliyoimba diamond kwenye tetema!
Maridhawa ni utulivu wa hali au mahaliTetema husababisha na harakati maridhawa..
Mahali ni mandhari ila hali ridhaa hivyo vote mukhtasariMaridhawa ni utulivu wa hali au mahali
Mukhtasari wa habar wa Itv una hamasaMahali ni mandhari ila hali ridhaa hivyo vote mukhtasari
Hamasa kubwa imepatikana kwa wananchi ktk kusajili vitambulisho..Mukhtasari wa habar wa Itv una hamasa
Vitambulisho vya kupigia kura kwahiyo sahivi havina ishu..?Hamasa kubwa imepatikana kwa wananchi ktk kusajili vitambulisho..
Ishu ni kujiandikisha na kuchukuwa alama za vidole mapema!!Vitambulisho vya kupigia kura kwahiyo sahivi havina ishu..?
Ishu ni kujiandikisha na kuchukuwa alama za vidole mapema!!
Shida na masaibu hayato kupata ukijiOrganize kiSheria..Mapema basi mimi nitajiandikisha sitaki shida
Kisheria ila jiwe nae kasema tusibughudhiweShida na masaibu hayato kupata ukijiOrganize kiSheria..
Tusibughudhiwe neno hili kuntu Lina wasaa na maana kubwa adhimu !!Kisheria ila jiwe nae kasema tusibughudhiwe
Adhimu ni lugha yetu Kiswahili, isiyopendwa na wazungumzaji wake watzTusibughudhiwe neno hili kuntu Lina wasaa na maana kubwa adhimu !!
Watz sijui ndio kina naniAdhimu ni lugha yetu Kiswahili, isiyopendwa na wazungumzaji wake watz
Nani hawajuiWatz sijui ndio kina nani
Hawajui watz ila anawatambua watanzaniaNani hawajui
Watanzania kifupi chake ndio watz au sio?Hawajui watz ila anawatambua watanzania
Sio ni kukataa ila hicho ndio kifupi chake kimtaaWatanzania kifupi chake ndio watz au sio?