Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,936
- 3,940
wako katika uchunguzi wa nini sababu ya ajali ya ndege
Ndege ya Ethiopian Airlines imeua watu wengi sana..wako katika uchunguzi wa nini sababu ya ajali ya ndege
Sana Sana msiba utapita na tutasahau pengine tutaendelea kupanda ndege na kupaa angani..
Angani ni sehemu salama kwa safari na ndio sehemu hatari zaid kwa safari pia..Sana Sana msiba utapita na tutasahau pengine tutaendelea kupanda ndege na kupaa angani..
Pia usipo zingatia taratibu za kusafiri utaachwa kituoniAngani ni sehemu salama kwa safari na ndio sehemu hatari zaid kwa safari pia..
Sent using Jamii Forums mobile app
pia tukumbuke jumamosi Simba anampiga McongoAngani ni sehemu salama kwa safari na ndio sehemu hatari zaid kwa safari pia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumbi la dhahabu ndiyo Mali !!Mkongo alifanya lamaana sana kugundua vumbi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mali nzuri ni zinazopatikana kwa njia za halaliVumbi la dhahabu ndiyo Mali !!
Halali hudumu ila haramu huteketea.Mali nzuri ni zinazopatikana kwa njia za halali
the Legend☆
Kivipi huonagi majanga yasioweza elezeka au kuingia akiluni !??!
Akiluni ndio wapi mkuu..Kivipi huonagi majanga yasioweza elezeka au kuingia akiluni !??!
Akilini bila kufikiri Ni kazi bureKivipi huonagi majanga yasioweza elezeka au kuingia akiluni !??!
Bure kbs huyu mdogo wangu Izzyhass kashindwa kuchambua..
Karanga mbichi huwa dawa kwa mashababi kama sisiKuchambua kama karanga
Karanga zina virutubisho vya aina ya mafuta(Fat/oil)Kuchambua kama karanga
Mafuta yamepanda beiKaranga zina virutubisho vya aina ya mafuta(Fat/oil)
Mafuta yake ni mazuri kwa kupikia vyakula vya aina zoteKaranga zina virutubisho vya aina ya mafuta(Fat/oil)