Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Bei yake si mbaya sana
Bei yake si mbaya sana
Mafuta yake ni mazuri kwa kupikia vyakula vya aina zote
Vijavyo vinafurahishaZote hizi rasilimali ni zetu, tuzilinde zitatufaidisha sisi na vizazi vyetu vijavyo
Vinafurahisha sana hadi nimeanza kusinziaVijavyo vinafurahisha
Kusinzia ni kawaida masaa kama haya, usingizi mnonoVinafurahisha sana hadi nimeanza kusinzia
Mnono sana hasa mjifunike suka moja na mwenzi wakoKusinzia ni kawaida masaa kama haya, usingizi mnono
Wako wapi wahenga waliosema "Aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe"Mnono sana hasa mjifunike suka moja na mwenzi wako
Jirani yako ndio ndugu yako
Nzuri MashaAllah tunakiombea kipate kushimiri..Yako nimeipenda Wallah. Nzuri.
Maasha-Allah.
Kushimiri maana yake ni nini?Nzuri MashaAllah tunakiombea kipate kushimiri..
@Dx and Rx
mizizi ya moarobaini ni dawa hasa ukichemsha na kunywa@Dx and Rx
Maana ya kushamiri ni kutu kilichoshikilia au kuendekeza tabia Fulani au kilicho ota mizizi...
Kunywa vinywaji visivo na viwango maalum ni hatari !!mizizi ya moarobaini ni dawa hasa ukichemsha na kunywa
hatari hasa ukinywa kinywaji kama gongoKunywa vinywaji visivo na viwango maalum ni hatari !!
Gongo la mboto NI eneo na makazi maarufu !!hatari hasa ukinywa kinywaji kama gongo
maarufu wapi wakati sehemu yenyewe hata haiyeleweki kwanza mbali kama unaenda mkoaniGongo la mboto NI eneo na makazi maarufu !!
Mkoani utakapo fukuzwa basi unakaribishwa gongo la mboto..maarufu wapi wakati sehemu yenyewe hata haiyeleweki kwanza mbali kama unaenda mkoani
Mboto Mrisho na Mboto Haji nani mkali..Mkoani utakapo fukuzwa basi unakaribishwa gongo la mboto..
Mkali wao ameshikiliwa na mamlaka