life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Hakueleweki kea Sababu umejichanganya na watu wasiyoendana na hadhi yako Muruwa ..
Hakueleweki kea Sababu umejichanganya na watu wasiyoendana na hadhi yako Muruwa ..
Murua ukipata safari lager baridiii utajisikia tena na nyama chomaHakueleweki kea Sababu umejichanganya na watu wasiyoendana na hadhi yako Muruwa ..
choma nyama vizuriMurua ukipata safari lager baridiii utajisikia tena na nyama choma
Vizuri choma hiyo nyama
Vionjo unavyipata wewe site tunaambulia urojo
Urojo uligoma kuteremka kooni baada ya JF kuzimikaVionjo unavyipata wewe site tunaambulia urojo
Kuzimika ghafla almanusra tuungue kwa mlipuko !Urojo uligoma kuteremka kooni baada ya JF kuzimika
Mlipuko ungenikuta nikiwa sina hili wala lile, sijui ningefanjeKuzimika ghafla almanusra tuungue kwa mlipuko !
Ningefanyeje nilipo kosa kupanda Daladala pale kivukoniMlipuko ungenikuta nikiwa sina hili wala lile, sijui ningefanje
Kivukoni pale karibu na Magogoni?Ningefanyeje nilipo kosa kupanda Daladala pale kivukoni
Magongoni Kuna kijiwe Cha mabaharia chaitwa Lebanon !!Kivukoni pale karibu na Magogoni?
Lebanon ni mji Mkuu wa nchi gani?Magongoni Kuna kijiwe Cha mabaharia chaitwa Lebanon !!
Lebanon kila siku wanauwana kama hawana akili nzuriMagongoni Kuna kijiwe Cha mabaharia chaitwa Lebanon !!
Nzuri Sana nchi ya Lebanon na mji mkuu ni Beirut..Samahani Ndg Njopino siku nyingi walishaacha Vita vya wenyewe kwa wenyewe !!Lebanon kila siku wanauwana kama hawana akili nzuri
Nikaelewa njama na FITINA za wahasimu..Wenyewe walipoanza kuzungumza ndio nikaelewa
Wahasimu wanapambana bila kuchokaNikaelewa njama na FITINA za wahasimu..
Kuchoka haraka kwa wachezaji wa Simba kumethibitisha mloo duni...Wahasimu wanapambana bila kuchoka
Duniani tunapita, tuishi kwa wema na jamii inayotuzungukaKuchoka haraka kwa wachezaji wa Simba kumethibitisha mloo duni...