Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 1,758
- 4,152
Mamlaka aliyonayo Rais mtu yoyote hawezi kupingana nae.Mkali wao ameshikiliwa na mamlaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka aliyonayo Rais mtu yoyote hawezi kupingana nae.Mkali wao ameshikiliwa na mamlaka
Nae akiungana na raia kwenye jutoa rambirambi za msiba..
Msiba ni jambo zito sana omba lisikutokeeN
Nae akiungana na raia kwenye jutoa rambirambi za msiba..
Lisitokee kivipi msiba ni ulazimu ktk kanuni za uhai..
Uhai mwisho wake mauti..Lisitokee kivipi msiba ni ulazimu ktk kanuni za uhai..
Mauti ni taswira yenye uzito ktk nafsi
Nafsi yangu inaniambia huu uzi hauna mshindi..Mauti ni taswira yenye uzito ktk nafsi
Mshindi ni wewe Ndg yetu Bingwa wa mwaka
Mwaka huu vimetokea vifo vya ghafla sana nchini mwetu..Mshindi ni wewe Ndg yetu Bingwa wa mwaka
Mwetu ni misiba ya ukoo mmoja1 ila kwa wenzetu ni misiba kwa ujumla na vishindo !!
Mwetu ni misiba ya ukoo mmoja1 ila kwa wenzetu ni misiba kwa ujumla na vishindo !!
Kitanda alicholalia bondia kilikuwa kibovu..!
Mshindi huyo kaingia kea shamrashsmra..Wa mwisho ndio mshindi 🤔
Aisaee ni moja ya Njia kuondoa stress na tafrani khaswa ukiwa ughaibuni..Hahahaha mada zingine aisee
Kutosha kwako ni heshima dhahiri kuwa umeshindwaMkuu ushindi wako kwa mara ya kwanza kuja kwenye hii mada naona una comments za kutosha
Kunguni wanaongoza kwakuaibisha maselaHumu jela Kuna viroboto na kunguni...