life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Mwingi wa zogo na taharuki usikufanye kutotii sheria!!Hatujitambui hasaa na ndio sababu mmomonyoko wa maadili umekua mwingi.
Mwingi wa zogo na taharuki usikufanye kutotii sheria!!Hatujitambui hasaa na ndio sababu mmomonyoko wa maadili umekua mwingi.
Sheria za nchi lazima zifuatweMwingi wa zogo na taharuki usikufanye kutotii sheria!!
sheria ni msumenoMwingi wa zogo na taharuki usikufanye kutotii sheria!!
Zifuatwe pasi kuvunjwaSheria za nchi lazima zifuatwe
Msumeno wa umeme ndo ulimkatakata !!sheria ni msumeno
Kuvunjwa kwa Bunge kunasababishwa na kitu gani?Zifuatwe pasi kuvunjwa
Gani Kati ya ukweli na uhakika haufuatwi vilvyo?Kuvunjwa kwa Bunge kunasababishwa na kitu gani?
Vilivyo rahisi havidumuGani Kati ya ukweli na uhakika haufuatwi vilvyo?
Vilivyo haribika havifai tena kwa matumiziGani Kati ya ukweli na uhakika haufuatwi vilvyo?
Vilivyo haribika havifai tena kwa matumizi
Matumizi ya Simu kwa wanawetu yawe na wakati maalum !!Vilivyo haribika havifai tena kwa matumizi
Havidumu vitu feki kwa Sababu having viwango!!Vilivyo rahisi havidumu
Wakati maalum na umri maalum piaMatumizi ya Simu kwa wanawetu yawe na wakati maalum !!
Bajeti ni ngumuMatumizi mazuri lazima yawe na bajeti...
wakati maalum ndo wakati gan?Matumizi ya Simu kwa wanawetu yawe na wakati maalum !!
Pia unapo jitanda hijab waonekana mrembo zaidiWakati maalum na umri maalum pia
Bajeti ni ngumu
Mrembo zaidi na kuheshimika piaPia unapo jitanda hijab waonekana mrembo zaidi
Pia aitaqabalie twa'a yako yenye ikhlasi..Mrembo zaidi na kuheshimika pia
Pia tufuate flow ya uziMrembo zaidi na kuheshimika pia