Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,458
Kipato chako cha kila siku ndicho kinakufanya uishiJana na juzi uliweza kadri ya kipato chako..
Kipato chako cha kila siku ndicho kinakufanya uishiJana na juzi uliweza kadri ya kipato chako..
Matokeo yataibua mtafaruku na uhasimu !!
Ushindi ni lazimaUhasimu tena mkubwa tu sababu kila mtu anataka ushindi..
Uishi tu bila hata kuwakumbuka Wazazi ni uchoyo!!Kipato chako cha kila siku ndicho kinakufanya uishi
Lazima tukupe ubingwa japo hujafikia vigezo!!Ushindi ni lazima
Leo akikoswa koswa basi anapigwa nneLazima simba apigwe 5 tena leo?
![]()
Leo ni leo asemaye kesho muongoLazima simba apigwe 5 tena leo?
![]()
Nne bilaLeo akikoswa koswa basi anapigwa nne
Muongo wa Hali ya juu ukimpa kisogo anakucheka!!Leo ni leo asemaye kesho muongo
Bila Mimi msinge pendelewa !!Nne bila
Pendelewa na Refa wa mchezoBila Mimi msinge pendelewa !!
Muongo wa Hali ya juu ukimpa kisogo anakucheka!!
Mchezo ni furaha na ridhaa pande mbiliPendelewa na Refa wa mchezo
Dhiki ni chukizo la moyoni husababisha misongoAnakucheka tena bila aibu hao tunaita wanafiki wasiofaa ata kwa raaha na kwenye dhiki
Misongo ya mawazo kazini ni janga la kitaifaDhiki ni chukizo la moyoni husababisha misongo
Kitaifa itabidi tutafute muarobaini wa kulitibu..Misongo ya mawazo kazini ni janga la kitaifa
Dhiki ni chukizo la moyoni husababisha misongo
Kulitibu jinamizi hilo kunahitaji mtaalamuKitaifa itabidi tutafute muarobaini wa kulitibu..