Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,459
Wengi wapeUwanjani kuna mashabiki wengi
Wengi wapeUwanjani kuna mashabiki wengi
Wape darsa wanao ili wasije kulaumu mapungufu !!Wengi wape
Wape darsa wanao ili wasije kulaumu mapungufu !!
Wengine wengi wao wanaongea ugoro tu humu hawajui tuna msibaMapungufu yako jifunze kutokana kwa mapungufu ya watu wengine
Msiba hauendekezwi ni siku 3 tu Ndg Cabo tujenge taifa !!
Taifa la leo na la KeshoMsiba hauendekezwi ni siku 3 tu Ndg Cabo tujenge taifa !!
Kesho ni siku ya mapumzikoTaifa la leo na la Kesho
Mapumziko memaKesho ni siku ya mapumziko
Mema uliyonifanyia sinto sahau ntakuombea Dua'a ubarikiwe..Mapumziko mema
Mema tuyatende kisha twende zetu tusingoje shukrani.Mapumziko mema
Mema na matendo yake ote yameondoshwa na tatizo la pheochromocytomaMapumziko mema
Shukrani ni muhimu sana katika jamiiMema tuyatende kisha twende zetu tusingoje shukrani.
Jamii ya Watanzania inahitaji elimu zaidi kuhusu ugonjwa wa MalariaShukrani ni muhimu sana katika jamii
Shukrani kwa binaadamu ni sawa na shukrani kwa Muumba wa ardhi na Samawti....Mema tuyatende kisha twende zetu tusingoje shukrani.
Malaria ni ugonjwa unasababisha vifo vya watoto wengiJamii ya Watanzania inahitaji elimu zaidi kuhusu ugonjwa wa Malaria
Pheochromocytoma ulio nayo ndio imesababisha kufunga kufuli sokoniMema na matendo yake ote yameondoshwa na tatizo la pheochromocytoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wengi wanahitaji ukaribu na wazaziMalaria ni ugonjwa unasababisha vifo vya watoto wengi
Wazazi wenyewe ndo Kama akina sisi hatujitambui..Watoto wengi wanahitaji ukaribu na wazazi
Hatujitambui hasaa na ndio sababu mmomonyoko wa maadili umekua mwingi.Wazazi wenyewe ndo Kama akina sisi hatujitambui..