life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Zimefurahika nyoyo baada kuzaliwa nabiya..(jee waijua hiyo)?Nyoyo zimefurahika...
Zimefurahika nyoyo baada kuzaliwa nabiya..(jee waijua hiyo)?Nyoyo zimefurahika...
Samaki aliye mmeza nabii Yunus aitwajee?Zimefurahika nyoyo baada ya kulinganishwa na samaki
Aitwaje samaki huyo ni kitendawili ambacho kinategemea umesoma kitabu ganiSamaki aliye mmeza nabii Yunus aitwajee?
Aitwaje kwani twambie tujueSamaki aliye mmeza nabii Yunus aitwajee?
Kitabu gani nilimaliza kusoma Kati ya vitabu Mia na ishirini na sita vya mbinguni..Aitwaje samaki huyo ni kitendawili ambacho kinategemea umesoma kitabu gani
Mbinguni ni wapi huko?Kitabu gani nilimaliza kusoma Kati ya vitabu Mia na ishirini na sita vya mbinguni..
Tujue jina la Samaki ni "al-hutt" (nyangumi jike) hapo baharini ..Aitwaje kwani twambie tujue
Huko ni ktk anga za juu nje za upeo wa nadharia !!Mbinguni ni wapi huko?
Nadharia na vitendoHuko ni ktk anga za juu nje za upeo wa nadharia !!
Vitendo vyenye amali Kama nta yenye asali..Nadharia na vitendo
asali ni tamu kuliko sukariVitendo vyenye amali Kama nta yenye asali..
Sukari na chumvi ina hatari Kama kadi nyekundu ya muamuzi wa mechi za mpira zaweza kukutoa !!asali ni tamu kuliko sukari
asali ni tamu kuliko sukari
TZ NI moja ya nchi zinazo ongoza kwa amani na uelewano..sukari bado haijakizi mahitaji kwa wananchi wote hasa apa nchini Tz
Uelewano katika maisha ya ndoa ni muhimu sanaTZ NI moja ya nchi zinazo ongoza kwa amani na uelewano..
Sana Sana akikuamini utampuuza na kuchepuka!!
Kuchepuka sio dili..baki njia kuuSana Sana akikuamini utampuuza na kuchepuka!!
Kuu lao limejitosa ktk movie ya kila mbabe Ana mbabe wake hapo uwanjaniKuchepuka sio dili..baki njia kuu
Uwanjani kuna mashabiki wengiKuu lao limejitosa ktk movie ya kila mbabe Ana mbabe wake hapo uwanjani
Wengi wape ila Mimi usinipe Sina mwamana!!Uwanjani kuna mashabiki wengi