Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Ikhlasi ni kiswahili?Pia aitaqabalie twa'a yako yenye ikhlasi..
Ikhlasi ni kiswahili?Pia aitaqabalie twa'a yako yenye ikhlasi..
Kiswahili eenh? Ha haha Sinilikuwambia mie Bingwa was lugha.. Kama mnae wa kushinda nami mleteni..!!Ikhlasi ni kiswahili?
Uzi wenyewe umejikunja na kupiga fundo !!Pia tufuate flow ya uzi
Uzi wenyewe umejikunja na kupiga fundo !!
Fundo nililowapa limewakimbiza ?Uzi wenyewe umejikunja na kupiga fundo !!
Mwili wa binaadamu unahitaji virutubisho !!fundo moja tu yabalimi inalainisha koo na mwili
Virutubisho vinapatikana wapiMwili wa binaadamu unahitaji virutubisho !!
Wapi mpo na mie nijeVirutubisho vinapatikana wapi
Limewakimbiza? Labda Fragaria mie bado nipo
Wapi na wakati gani wahitaji kuvitumia niagize mie mtumishi wako mwaminifu..!!Virutubisho vinapatikana wapi
Tumalize tu mchezo kama vipinipo namimi nasubiri mshindi nimwone sijui atapatikana au tukupe tu wewe ili tumalize mchezo??
Nije kea ndege ya Dreamliner au Emirates??Wapi mpo na mie nije
Vipi utamalizika mchezo huu ni kitendawili cha mwakaTumalize tu mchezo kama vipi
Tumalize tu mchezo kama vipi
Vipi Tena jamaniiii lafha ya mchezo ndo imekoleaTumalize tu mchezo kama vipi
Mwaka huu lazima nitimize malengo kwa asilimia kubwa zaidi ya ile ya mwaka janaVipi utamalizika mchezo huu ni kitendawili cha mwaka
Matokeo yataibua mtafaruku na uhasimu !!Vipi utaridhika na matokeo!
Jana na juzi uliweza kadri ya kipato chako..Mwaka huu lazima nitimize malengo kwa asilimia kubwa zaidi ya ile ya mwaka jana