12 Marook
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 441
- 331
Sini ni chombo kisicho kosekana kwenye harusiUsukani wa Lori ni mkubwa kama sinia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sini ni chombo kisicho kosekana kwenye harusiUsukani wa Lori ni mkubwa kama sinia
Harusi za siku hizi ni kuchangishana tu
Tu ipo kwa baadhi ya watu, ila kwa waarabu wanabeba zote gharama...Harusi za siku hizi ni kuchangishana tu
Gharama kubwa cha ajabu Talaka hazikawi kutolewaTu ipo kwa baadhi ya watu, ila kwa waarabu wanabeba zote gharama...
Kutolewa mwari nyumbani kwao ishadhihiri pesa ndo mwamuzi...
Kutolewa mwari nyumbani kwao ishadhihiri pesa ndo mwamuzi...
Umeshinda juani kutwa nzima bila kunywa maji !!Mwamuzi wa mchezo nimekuja haya "life is short" umeshinda 🏆🏆🏆🏆
Umeshinda na njaa alafu unakuja kuamua vita ya ma bouncer, utauwawa bure jombaaMwamuzi wa mchezo nimekuja haya "life is short" umeshinda![]()
Umeshinda juani kutwa nzima bila kunywa maji !!
Umeshinda na njaa alafu unakuja kuamua vita ya ma bouncer, utauwawa bure jombaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mchezo hauitaji hasirajomba usikurupuke mwenyewe wajua naeza kuishinda njaa sembuse huu mchezo...
Hasira ya mkizi furaha ya mvuvi japo hana mshipi anatumia uvuvi haramu!!
Haramu ni kinyume cha HalalHasira ya mkizi furaha ya mvuvi japo hana mshipi anatumia uvuvi haramu!!
Nyuma kuna mafunzo tulopitia yawezekana mbele kuna makubwa ya kuyakabili....Hasira ni hasara .mchezo naendeleza kama Pele pasipo kurudi nyuma...
kuyakabili maisha ya kaburini ni kitu kinacho niwazisha sanaNyuma kuna mafunzo tulopitia yawezekana mbele kuna makubwa ya kuyakabili....
Sana sana usiew na wasi wala mawazo cha msingi ni kuishi maisha ya upendo na kutenda khairati...!!kuyakabili maisha ya kaburini ni kitu kinacho niwazisha sana
Khayrat tuzitendazo ndio msingi wa maisha yetu ya baadaeSana sana usiew na wasi wala mawazo cha msingi ni kuishi maisha ya upendo na kutenda khairati...!!
"Baadae au nitakutafuta" huu usemi ni ishara ya kuhadaa !!K
Khayrat tuzitendazo ndio msingi wa maisha yetu ya baadae
kuhadaa sio katika matendo mema"Baadae au nitakutafuta" huu usemi ni ishara ya kuhadaa !!