life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Mema ufanyao hukurudia heri nyingi kwa njia mbadala pasipo kutegemea...kuhadaa sio katika matendo mema
Mema ufanyao hukurudia heri nyingi kwa njia mbadala pasipo kutegemea...kuhadaa sio katika matendo mema
Kutegemea ndugu kuna asilimia kubwa ya kufa masikiniMema ufanyao hukurudia heri nyingi kwa njia mbadala pasipo kutegemea...
Masikini siyo "kabila/Dini/Udugu wala Utaifa" Masikini ni nafsi iliyo jitumbukiza kisimani !!Kutegemea ndugu kuna asilimia kubwa ya kufa masikini
Kisimani huwa kunachotwa majiMasikini siyo "kabila/Dini/Udugu wala Utaifa" Masikini ni nafsi iliyo jitumbukiza kisimani !!
kisimani ndipo hupatikana maji ya chumviMasikini siyo "kabila/Dini/Udugu wala Utaifa" Masikini ni nafsi iliyo jitumbukiza kisimani !!
Maji ya moto wa "kiasi" imeshudika kwa maji hayo hutibu magonjwa kadha wa kadha...Kisimani huwa kunachotwa maji
Kadhalika na yote yaliyosemwa bado mgonjwa hajajulikana hasa alikuwa anaumwa nini...Maji ya moto wa "kiasi" imeshudika kwa maji hayo hutibu magonjwa kadha wa kadha...
Nini kilichompata Kiongozi wa msafara....Kadhalika na yote yaliyosemwa bado mgonjwa hajajulikana hasa alikuwa anaumwa nini...
Msafara wa mamba kenge hawakosekaniNini kilichompata Kiongozi wa msafara....
Msafara wa Mamba na Kenge pia wapoNini kilichompata Kiongozi wa msafara....
Hawakosekani wahenga ndani ya JfMsafara wa mamba kenge hawakosekani
JF ni bahari yenye mawimbi na neema za samaki wa kila aina....!!Hawakosekani wahenga ndani ya Jf
Aina ya samaki wanaopatikana humo ni wengi na si rahisi kuwataja wakaisha.JF ni bahari yenye mawimbi na neema za samaki wa kila aina....!!
Wakaisha ?Aina ya samaki wanaopatikana humo ni wengi na si rahisi kuwataja wakaisha.
Wakaisha baada ya kupuliziwa dawa...Wakaisha ?
Dawa yao wawe waStaarabu kama sista Shadeeya !!Wakaisha baada ya kupuliziwa dawa...
Muhenga amechukuwa nafasi ya juu ktk nyoyo !!Shadeeya ni Muhenga
Nyoyo zimefurahika...Muhenga amechukuwa nafasi ya juu ktk nyoyo !!
Zimefurahika nyoyo baada ya kulinganishwa na samakiNyoyo zimefurahika...