life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Chokozi huongeza wivu,uchungu na uchochezi wa kutafuta masilahi....Range ni mwisho wa barabara chokozi
Chokozi huongeza wivu,uchungu na uchochezi wa kutafuta masilahi....Range ni mwisho wa barabara chokozi
Masilahi yenyewe hata ufanyaje huwezi kununua Range mpyaChokozi huongeza wivu,uchungu na uchochezi wa kutafuta masilahi....
Mpya kinyemi au kimenyi? Nishindwe kununua chuma ...khaah!!Masilahi yenyewe hata ufanyaje huwezi kununua Range mpya
Khaah!! Yaani mbowe na matiko wametoka?? Ilibidi wakae hata siku 200 jela wajifunze adabu nzuri.Mpya kinyemi au kimenyi? Nishindwe kununua chuma ...khaah!!
Khaah..ulichoandika ni kiswahili kweli?Mpya kinyemi au kimenyi? Nishindwe kununua chuma ...khaah!!
Nzuri ni bendera ya Tanzania inapopeperushwa kwa kuonesha uhuru wa Watanzania woteKhaah!! Yaani mbowe na matiko wametoka?? Ilibidi wakae hata siku 200 jela wajifunze adabu nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hamunipati hata kwa vumba na ubani...Nzuri ni bendera ya Tanzania inapopeperushwa kwa kuonesha uhuru wa Watanzania wote
Ubani ukichomwa harufu yake inaamsha waliolalaWote hamunipati hata kwa vumba na ubani...
Waliolala usiwaamshe utalala wewe mmmh ukitahamaki mie sipo!!Ubani ukichomwa harufu yake inaamsha waliolala
Sipo, utakuwa umeshachukuliwa na mtoa roho kakupeleka Kwa shetaniWaliolala usiwaamshe utalala wewe mmmh ukitahamaki mie sipo!!
Shetani ana mapembeSipo, utakuwa umeshachukuliwa na mtoa roho kakupeleka Kwa shetani


Mapembe marefu kama ya ng'ombe yanafaa kutengenezea ala ya muzikiShetani ana mapembe
![]()
Muziki wa unashawishi kutikisa viungo mwilini..Mapembe marefu kama ya ng'ombe yanafaa kutengenezea ala ya muziki
Mwilini kunapatikana damu,maji na mifupa hii inamaanisha utatu mtakatifu wa mwiliMuziki wa unashawishi kutikisa viungo mwilini..
Mwili mmoja mawazo mbalimbali!Mwilini kunapatikana damu,maji na mifupa hii inamaanisha utatu mtakatifu wa mwili
Mbalimbali haitoleta manufaa kwa mshikamano wa Taifa !!
Taifa Stars bila mbwana Ally ni sawa na gari bila tyreMbalimbali haitoleta manufaa kwa mshikamano wa Taifa !!
Tyre imeingiaje hapa wakati dereva kashika usukani....?
Usukani wa Lori ni mkubwa kama siniaTyre imeingiaje hapa wakati dereva kashika usukani....?