Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Swali la nyongeza?Uliotukuka ni mwongozo na mafundisho ya swali..
Swali la nyongeza?Uliotukuka ni mwongozo na mafundisho ya swali..
Swali la nyongeza?
Tano Tisa Saba NI tarakumu za wapiga ramli...Nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma imetupiliwa mbali na serikali ya awaamu ya tano
Ramli nyingine zinatisha, eti mbaya wako unaoneshwa kwenye kioo!Tano Tisa Saba NI tarakumu za wapiga ramli...
Ajali za baharini Zina ugumu mkubwa was kuokoa..
Kuokoa mizigo na kujiokoa mwenyewe pindi ajali itokeapo ni kazi kubwaAjali za baharini Zina ugumu mkubwa was kuokoa..
Kubwa lao huwalinda wanyonge na mafukara...Kuokoa mizigo na kujiokoa mwenyewe pindi ajali itokeapo ni kazi kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafukara wanapenda kukoment kwakubishana alaf bila mpangilioKubwa lao huwalinda wanyonge na mafukara...





ntarudiMpangilio wa majiji mengi hapa nchini ni mashakaMafukara wanapenda kukoment kwakubishana alaf bila mpangiliontarudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashaka ya chombo kilichozama baharini kilitabiriwa...
Kilitabiriwa na nani kuhusu hayo mashaka?Mashaka ya chombo kilichozama baharini kilitabiriwa...
Mashaka ni Jina la MsaniiKilitabiriwa na nani kuhusu hayo mashaka?
Msanii wa wapi?Mashaka ni Jina la Msanii
wapi wewe unapatikanaMsanii wa wapi?
Unapatikana halafu unaambiwa vipi mbona huonekani!wapi wewe unapatikana
Huonekani mwanaetu Fragaria wee na gari lako Range..