life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Jamaniiii eeeh niwieni radhi naenda lala...
Awalipie kwa vifo visivyo na hatiaWaliteketea waJapani walivyo tupiwa Bomu la Nyuklia.... Mungu awalipie !!!
Lala salamaJamaniiii eeeh niwieni radhi naenda lala...
Salama nipale utakapofuata mtiririko wa neno la mwisho sio unajiandikia andikia tuLala salama
Khatia ya uporaji ktk SuperMarket imempeleka Polisi..Awalipie kwa vifo visivyo na hatia
Tuliza manyanga na uache munkari !!Salama nipale utakapofuata mtiririko wa neno la mwisho sio unajiandikia andikia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Munkari umemjaa mwanababa huyo kwa kutojua kusoma vizuriTuliza manyanga na uache munkari !!
Kusoma ni zao la kusema hivo penda kusomesha..Munkari umemjaa mwanababa huyo kwa kutojua kusoma vizuri
Kusomesha si Kazi nyepesiKusoma ni zao la kusema hivo penda kusomesha..
Nyepesi kitamba Cha chandarua !!
Chandarua za siku hizi hazina ubora wowoteNyepesi kitamba Cha chandarua !!
Wowote kwa hali zote au siku zote hutoniweza!!Chandarua za siku hizi hazina ubora wowote
Hutoniweza mimi piaWowote kwa hali zote au siku zote hutoniweza!!
Pia enzi hizi nashikilia ubingwa na utashi 5star!!Hutoniweza mimi pia
5star hoteli zipo nyingi sana nchini IndiaPia enzi hizi nashikilia ubingwa na utashi 5star!!
INDIA INA WATU ZAIDI YA BILIONI MOJA5star hoteli zipo nyingi sana nchini India
India ipo ktk bara la Asia kusini....5star hoteli zipo nyingi sana nchini India
Moja ya tatizo la vijana ni Njia za mkato!!INDIA INA WATU ZAIDI YA BILIONI MOJA
Moja ya tatizo la watu hao wengi ni umaskini uliotukukaINDIA INA WATU ZAIDI YA BILIONI MOJA
Uliotukuka ni mwongozo na mafundisho ya swali..Moja ya tatizo la watu hao wengi ni umaskini uliotukuka