ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Ndiyo hivyo


Hivyo ulivyo bi ABJ unastahili kunyakuwa ubingwa..Ndiyo hivyo
![]()
Ubingwa nipate kirahisi hiviHivyo ulivyo bi ABJ unastahili kunyakuwa ubingwa..



Hivi ndgyangu wewe wajishusha hadhi?
Oysterbay kuna mandhari nzuri ya bahari hindi...Hadhi ya juu kabisa ya nyumba inapatikana kule Oysterbay..
Hindi moja la kuchomwa shs ngapi kwa DarOysterbay kuna mandhari nzuri ya bahari hindi...
Dar-es-Salaam ni jiji lenye baraka hakuna akosae kipato au mlo wa siku !!
Siku ya jana kulipoa sana baada ya kunyesha mvua!Dar
Dar-es-Salaam ni jiji lenye baraka hakuna akosae kipato au mlo wa siku !!
Mlimani juu kileleni kunatisha sanaIkizidi kunyesha tutahama mabondeni kuelekea mlimani..
Mlimani ulishawahi fikaIkizidi kunyesha tutahama mabondeni kuelekea mlimani..


Fika hapa kituoni Saa mbili asubuhi bila kuchelewa..Mlimani ulishawahi fika
![]()
Kuchelewa kufika Airport ni usumbufu usio na kifaniFika hapa kituoni Saa mbili asubuhi bila kuchelewa..
Kifani changu ni mtafsiri ndoto..Kuchelewa kufika Airport ni usumbufu usio na kifani
Ndoto yako iwe na kamusi ya kutafsiri maana ya kifaniKifani changu ni mtafsiri ndoto..
Ndoto yako iwe na kamusi ya kutafsiri maana ya kifani
Kifani ni neno letu (la kiarabu) mmeliazima Sasa waketa nyodo !!Ndoto yako iwe na kamusi ya kutafsiri maana ya kifani