life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Marekani niliishi enzi za mbabe Rambo !!Kifani changu ni chuki kuu ya msaliti Lissu anaejiaibisha huko Ulaya na Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani niliishi enzi za mbabe Rambo !!Kifani changu ni chuki kuu ya msaliti Lissu anaejiaibisha huko Ulaya na Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ni kiashiria cha furaha ya kuwa muarabu wa Bongo ambaye ni mswahili mwenzetuKifani ni neno letu (la kiarabu) mmeliazima Sasa waketa nyodo !!
Ha ha ha...
Rambo alikuwa muigizaji mzuri mwenye misuli mikubwaMarekani niliishi enzi za mbabe Rambo !!
Mikubwa Kama vifurushi sita..?Rambo alikuwa muigizaji mzuri mwenye misuli mikubwa
Mwenzetu tupo nae sambamba ..Ha ha ha ni kiashiria cha furaha ya kuwa muarabu wa Bongo ambaye ni mswahili mwenzetu
Sita ni namba ambayo ukiigeuza inakupatia namba nyingineMikubwa Kama vifurushi sita..?
Sambamba na kuwania ushindi wa huu uzi unapendelea mashindano gani?Mwenzetu tupo nae sambamba ..
Nyingine itakuwa namba Tisa (9) pia neno la kiarabu ..upo?Sita ni namba ambayo ukiigeuza inakupatia namba nyingine
Gani ? Olewako ukishindwa sintokusamehe!!Sambamba na kuwania ushindi wa huu uzi unapendelea mashindano gani?
Upo uarabuni wewe au Bongo?Nyingine itakuwa namba Tisa (9) pia neno la kiarabu ..upo?
Sintokusamehe ni neno lisilopendwa na watu maana hata Mungu anasameheGani ? Olewako ukishindwa sintokusamehe!!
Bongo ni shehamu lilomo ndani ya fuvu la kichwa hata Dubai napo ni Arabuni!!Upo uarabuni wewe au Bongo?
Sana kama vile zile za ulaya
Ulaya wamejazana wakimbizi kutoka Afrika Magharibi..Sana kama vile zile za ulaya
Sent using my Iphone 6
Magharibi ya Afrika kuna nchi zilipata maambukizi ya EbolaUlaya wamejazana wakimbizi kutoka Afrika Magharibi..
Ebola Inaambukiza acheni Masikhara !!Magharibi ya Afrika kuna nchi zilipata maambukizi ya Ebola
Masikhara yake si madogo maelfu waliteketeaEbola Inaambukiza acheni Masikhara !!
Waliteketea waJapani walivyo tupiwa Bomu la Nyuklia.... Mungu awalipie !!!Masikhara yake si madogo maelfu waliteketea