life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
iendelee kwa kasi na ufanisi bila ajizi..
iendelee kwa kasi na ufanisi bila ajizi..
Ajizi ndio nini mbona unaleta mambo ya oni sigalaiendelee kwa kasi na ufanisi bila ajizi..
Si ghala ya kuhifadhi mazao ni ghala ya vipuri..!!
Vipuri hapana ni oni sigala wa kiswahili mbobeziSi ghala ya kuhifadhi mazao ni ghala ya vipuri..!!
Mbobezi wa mitindo wa uvaaji vitenge..
Vitenge vinavyotoka Congo Zaire Ni bora maradufu kuliko vitokavyo chinaMbobezi wa mitindo wa uvaaji vitenge..
China ni nchi pekee yenye viwanda ktk kila kichochoro...Vitenge vinavyotoka Congo Zaire Ni bora maradufu kuliko vitokavyo china
Kila kichochoro ninachopita usiku ninanusulika kukabwa na vibaka...China ni nchi pekee yenye viwanda ktk kila kichochoro...
Vibaka ni zao la njaa na malezi ya ufuska...Kila kichochoro ninachopita usiku ninanusulika kukabwa na vibaka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufuska Ni Hari ya kukengeuka,iliyokuwa inapendwa na marehemu mkandara LufufuVibaka ni zao la njaa na malezi ya ufuska...
Ufuska Ni Hari ya kukengeuka,iliyokuwa inapendwa na marehemu mkandara Lufufu
Lufufu alikuwa mtafsiri wa movies mbalimbali ila kwasasa hayupo hai..Ufuska Ni Hari ya kukengeuka,iliyokuwa inapendwa na marehemu mkandara Lufufu
Maarifa ni chembe ya ufanisi wa kurahisisha mzunguko mrefu kiutendaji...
<html>Kiutendaji mimi natenda siongei<html/>Maarifa ni chembe ya ufanisi wa kurahisisha mzunguko mrefu kiutendaji...
Mbowe ni mfangwa wa kisiasa? Au ni njama za wakoloni tu kukandamiza Uhuru wenu
Siongei maneno ya kisasa ...<html>Kiutendaji mimi natenda siongei<html/>
Kisasa si kuongea tu bali hata kutembea, kuvaa kivazi nkSiongei maneno ya kisasa ...