wined
JF-Expert Member
- Nov 1, 2015
- 2,294
- 2,784
Kimefifia kiwango cha mchezaji wa simba wao humwita chama.


Kimefifia kiwango cha mchezaji wa simba wao humwita chama.


Chama tawalaKimefifia kiwango cha mchezaji wa simba wao humwita chama.
![]()
Utawaliwe na mtawala


Wote waliyo ghushi vyeti wapo mashakani..
Mashakani inapakana na inapatikana wapi hapa duniani?Wote waliyo ghushi vyeti wapo mashakani..
Duniani watu wengi Wana beba mashaka(stress) hivo kupelekesha magonjwa kushimiri..Mashakani inapakana na inapatikana wapi hapa duniani?
Kushamiri umaskini kueleke 2025Duniani watu wengi Wana beba mashaka(stress) hivo kupelekesha magonjwa kushimiri..
2025 US$ ni Bei ya ticket kusafiri....Kushamiri umaskini kueleke 2025
2025 US$ ni Bei ya ticket kusafiri....
Kusafiri kwa barabara kwenda mikoani na hasa mikoa iliyombali na Dar kwataka moyo2025 US$ ni Bei ya ticket kusafiri....
Moyo wangu haunipi kuacha kuchangia humu JF japo mnanikwaza....Kusafiri kwa barabara kwenda mikoani na hasa mikoa iliyombali na Dar kwataka moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnanikwaza nami pia, lakini kwanini ukwazwe kwenye uzi rafiki kama huu!Moyo wangu haunipi kuacha kuchangia humu JF japo mnanikwaza....
Huu urembo wake huyu dada ni feki...!!Mnanikwaza nami pia, lakini kwanini ukwazwe kwenye uzi rafiki kama huu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu urembo wake huyu dada ni feki...!!
Mwili wote fake ila bado vidume tunakula ivo ivoFeki kabisa awa dada zetu kwanzia nywele mpaka ukucha wa mguu nao feki mwili wote...
Mnanikwaza hata Mimi ambae sikuwepo. Btw ligi lazima iendeleeMoyo wangu haunipi kuacha kuchangia humu JF japo mnanikwaza....