Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,070
Kudeka sio issue hata wazee wanadeka cha msingi uwe na pesa tu utadekezwaMtoto anapenda kudeka
Kudeka sio issue hata wazee wanadeka cha msingi uwe na pesa tu utadekezwaMtoto anapenda kudeka
siwaelewi ni msemo unaotumiwa na watu ambao hawaelewi..Mods mda mwingine siwaelewi
Kisonono ndio janga la taifa!!Kudeka kote huko hakuweza kujitibu kisonono !!
hawaelewi kwa sababu maelezo kamili hayatolewi
Taifa linajengea na nguvu kazi iliyojikita kirijali
Kilijali ni kiswahili ama kinyakyusa?!!Taifa linajengea na nguvu kazi iliyojikita kirijali
hayatolewi kwa sababu hakuna sababu ya kuyatoa!!hawaelewi kwa sababu maelezo kamili hayatolewi
hayatolewi kwa sababu hakuna sababu ya kuyatoa!!
Kuyatoa ma-pumb-u hadharani ni ukosefu wa adabu
Zako na zangu tukijumlisha tutakuwa maBilionea..
Bilionea wa Kitanzania hivi ni nani?Zako na zangu tukijumlisha tutakuwa maBilionea..
nani atakae mfunga paka kengere?!!Bilionea wa Kitanzania hivi ni nani?
Kengele ya shingoni au mkiani?
mkiani napo panafaa kama kukiwako na kifungio!!Kengele ya shingoni au mkiani?
kufuri pasipo funguo inahitaji kifaa kigumu kuvunja hasa hasa nyundo.
Nyundo ni mhubiri wa dini ya Kiislam hasa kwa akina mamakufuri pasipo funguo inahitaji kifaa kigumu kuvunja hasa hasa nyundo.
Sent using Jamii Forums mobile app