Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,711
litasimama kwa nadharia maana hakuna neno lenye miguu!!Yote yatapita ila neno litasimama
Lifunikwe kutumia Nini?
Nini kinacho wapandisha ghadhabu wakati wakulumbana..?Lifunikwe kutumia Nini?
Mchina kasha ahidi kuufinyanga ulimwengu ktk kiganja !!
Kiganja changu kina uvimbeMchina kasha ahidi kuufinyanga ulimwengu ktk kiganja !!
uvimbe huo ni dalili ya pesaKiganja changu kina uvimbe
Pesa ndio ngao ya kila kitu ktk maisha ya sasa!!uvimbe huo ni dalili ya pesa
Sasa naomba munitangaze kuwa mshindi kwenye hii sired mukizingua nitajitangaza mwenyewe
Mwenyewe nikiamua hakuna wa kunipinga kama malaika mtotoSasa naomba munitangaze kuwa mshindi kwenye hii sired mukizingua nitajitangaza mwenyewe
mwenyewe hujiamini ndio maana unaomba utangazwe, jitangaze kama kweli ww ni mshindi ili upewe zawadi na mods..Sasa naomba munitangaze kuwa mshindi kwenye hii sired mukizingua nitajitangaza mwenyewe
mwenyewe hujiamini ndio maana unaomba utangazwe, jitangaze kama kweli ww ni mshindi ili upewe zawadi na mods..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mods siku hizi wanazingua ukiwaita hawaji, wakija unakula ban mwakamwenyewe hujiamini ndio maana unaomba utangazwe, jitangaze kama kweli ww ni mshindi ili upewe zawadi na mods..
Sent using Jamii Forums mobile app