Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,444
Kambo?
Mama wengine wa kambo ni shida.
Kambo?
Shida ikizidi tunyanyue mikono juu kuomba farajaKambo?
Mama wengine wa kambo ni shida.
Shida haipo kama akikutamani kimapenzi!!Kambo?
Mama wengine wa kambo ni shida.
Maono yana uwezo wa kuondoa hali ya kushindwa na kudumaa katika uchumi wa mtu binafsiBusara ni neno la kiarabu "basir" Yaani mwenye upeo wa maono
Binafsi nimejihakikishia mambi kadha kutoka kwako na JF ya utandawazi...Maono yana uwezo wa kuondoa hali ya kushindwa na kudumaa katika uchumi wa mtu binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
UTANDAWAZI UNA KAZI NYINGI ILA YENYE WAFUASI WENGI NI KUUTANGAZA MWILI WA MWANAMKE...Binafsi nimejihakikishia mambi kadha kutoka kwako na JF ya utandawazi...
Mwanamke nna muheshimu sana sababu ni MAMA yangu, dada yangu na apo baadae ata kuja kuwa mke wangu, kwahiyo tusimuongelei saana ni ukosefu wa adabuUTANDAWAZI UNA KAZI NYINGI ILA YENYE WAFUASI WENGI NI KUUTANGAZA MWILI WA MWANAMKE...
Utandawazi umezima taa ya maadili kwa vijanaBinafsi nimejihakikishia mambi kadha kutoka kwako na JF ya utandawazi...
Adabu na heshima vinaendana sambamba au?Mwanamke nna muheshimu sana sababu ni MAMA yangu, dada yangu na apo baadae ata kuja kuwa mke wangu, kwahiyo tusimuongelei saana ni ukosefu wa adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
AU KAMA VIPI WACHINA WACHAGUE MKOA MMOJA ILI WAISHI PEKE YAO MAANA WANATUJAZIA MA-SINGLE MOTHER HUKU USWAZI
Uswazi single mother lazma wajae maana wanawake wa kule wamezidi tamaaAU KAMA VIPI WACHINA WACHAGUE MKOA MMOJA ILI WAISHI PEKE YAO MAANA WANATUJAZIA MA-SINGLE MOTHER HUKU USWAZI
Uswazi single mother lazma wajae maana wanawake wa kule wamezidi tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app