life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Kufanya kea uweledi ni hadhi kuliko kukurupuka !!
Kufanya kea uweledi ni hadhi kuliko kukurupuka !!
Kukurupuka kuna aibisha muda mwingineKufanya kea uweledi ni hadhi kuliko kukurupuka !!
Mwingine hatoweza kuchakachua tuliyojenga
Tuliyojenga kwa msingi imara yataendelea kudumuMwingine hatoweza kuchakachua tuliyojenga
Kudumu bila kushikilia itikadi thabiti ni kuchelewa kufika
Kufika kileleni ni kuhitimisha tendo la ngonoKudumu bila kushikilia itikadi thabiti ni kuchelewa kufika
ngono ni simulizi taamu kama ile ya pwagu na pwaguzi..Kufika kileleni ni kuhitimisha tendo la ngono
PWAGUZI na huyo PWAGU wake kumbe zilikuwa CHARACTER zilizochezwa na MTU mmoja mwenye kubadilisha sauti
PWAGUZI na huyo PWAGU wake kumbe zilikuwa CHARACTER zilizochezwa na MTU mmoja mwenye kubadilisha sauti
Masikio ndio kiungo Cha kwanza chenye kukufanya uamue MAAMUZI mazuri au mabaya
MABAYA HULIPWA KWA WEMA LAKINI SI SEPETUMasikio ndio kiungo Cha kwanza chenye kukufanya uamue MAAMUZI mazuri au mabaya
Mabaya yao yalijificha nyuma ya pazia...Masikio ndio kiungo Cha kwanza chenye kukufanya uamue MAAMUZI mazuri au mabaya
PAZIA LA GESTI SI KIFAA SALAMA KWAKOMabaya yao yalijificha nyuma ya pazia...
Kwako pakavu nikutilie kachumbari au mchuzi....PAZIA LA GESTI SI KIFAA SALAMA KWAKO
MCHUZI BILA NYANYA NI SAWA NA BARCELONA BILA MESSIKwako pakavu nikutilie kachumbari au mchuzi....
Messi ya klabu ya wastaafu kuna posho za kujikimu.MCHUZI BILA NYANYA NI SAWA NA BARCELONA BILA MESSI
Kujikimu imekuwa mwiba mchungu kwa walimu walioanza kazi mwaka huuMessi ya klabu ya wastaafu kuna posho za kujikimu.
Huu ndio uzi bora usio na mshindi miaka yote!!Kujikimu imekuwa mwiba mchungu kwa walimu walioanza kazi mwaka huu
Yote yatapita ila neno litasimama