life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Mnazo vichembechemba na vinasaba ....
Mnazo vichembechemba na vinasaba ....
Latoka jeupe vikifanana?kwahiyo siye weusi vinakuwa havijafanana so sadVinasaba vikifanana raha sana.
Toto jeupeeee latoka
So Sad !! kupata wazalendo wenye kukana asili zao hadi kufikia kujinasibu kwa rangi !!Latoka jeupe vikifanana?kwahiyo siye weusi vinakuwa havijafanana so sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Rangi inayopendwa sana na watu ni nyeupe inafika pahala hadi weusi wanaikana rangi yaoSo Sad !! kupata wazalendo wenye kukana asili zao hadi kufikia kujinasibu kwa rangi !!


Yao walisusa na kuidharau rangi halisi kwa bahati mbaya wamejitwika chemicals...Rangi inayopendwa sana na watu ni nyeupe inafika pahala hadi weusi wanaikana rangi yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Chemicals ambazo zinawatafuna kidogo kidogoYao walisusa na kuidharau rangi halisi kwa bahati mbaya wamejitwika chemicals...
Kidogo kidogo chenye kudumu ni bora kuliko vingi vyenye kikomo!!
Kikomo cha umri ni miaka mingapi kwani?Kidogo kidogo chenye kudumu ni bora kuliko vingi vyenye kikomo!!
Kosa hakuna ila si kwa nyumba ya kupanga
Wengi walinitongoza, ila aliyenipata ni mmoja
Mmoja mmoja ndo mpangoWengi walinitongoza, ila aliyenipata ni mmoja
Mpango ni kuoa mke mmoja tu, wawili hapanaMmoja mmoja ndo mpango
mvujajasho nguli
Hapana mkuu dini inahalalisha mpaka wane kama uwezo upo, kwanini sasa we upinge?Mpango ni kuoa mke mmoja tu, wawili hapana
Upinge, usipinge...kushare uume ni kipaji kwa sisi wengine...Hapana mkuu dini inahalalisha mpaka wane kama uwezo upo, kwanini sasa we upinge?
Sent using Jamii Forums mobile app