life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Zaidi ya maneno nikuweka kauli za kashfa akiba
Ghsrama za kuendesha kiwanda Cha sukari..
Taamu ina thaminika kupitia chungu yenye ukakasi..
Ukakasi wa baadhi ya dawa za miti shamba unakeraTaamu ina thaminika kupitia chungu yenye ukakasi..
Unakera Sana mdogo wangu bbc unapo ni ng'ang'nia..
Tunatakiwa tuwe na upendo sisi kwa sisi hata ukipigiwa cm Usiku pokea tu


Wafujaji wa mali mwisho wao ni kudhalilika mbele ya jamiiTulia na mmoja maana wengi ni wafujaji..
Tupa kule mbali hata asikusumbueTunatakiwa tuwe na upendo sisi kwa sisi hata ukipigiwa cm Usiku pokea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asikusumbue maana una mambo mengi ya kufanyaTupa kule mbali hata asikusumbue