Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,115
- 6,827
mbadala wa maisha ya baadae ni kutunza hazina mda huu..Karanga huongeza gesi tumboni ukila nyingi waweza vuna nashati mbadala !!
Sent using Jamii Forums mobile app
mbadala wa maisha ya baadae ni kutunza hazina mda huu..Karanga huongeza gesi tumboni ukila nyingi waweza vuna nashati mbadala !!
Huu ni alasiri ya vizazi vipya "hawajaali chochote"
Chochote kile kitalika tuHuu ni alasiri ya vizazi vipya "hawajaali chochote"

Tumbo ni pakacha la takataka!!Chochote kile kitalika tu
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...![]()
Takataka lazima zihifadhiwe sehemu stahiki ili zisichafue mazingiraTumbo ni pakacha la takataka!!
watanashati wote tunaenda mbinguniMazingira sikuhizi ndiyo kaulimbiu na kilio Cha watanashati
Mbinguni hatuendi kwa kuangalia utanashati wa nje pekee



Mbinguni hatuendi kwa kuangalia utanashati wa nje pekee
Ila nimejikuta tu nacheka kwenye hii comment
Sent using Jamii Forums mobile app


Unacheka kama unawashwa hivii...Mbinguni kuna kauni ngapi ?
Iyooo ni ngoma za jadi huko Ghana ..
Ghana ni nchi ilio ndani ya bara la AfricaIyooo ni ngoma za jadi huko Ghana ..
Africa inadharauliwa lakini mbona miguu yao haikomi kuja kusaka resources zilizomo barani mwetu
mwetu panafaa japo wazawa hatupathamini!!Africa inadharauliwa lakini mbona miguu yao haikomi kuja kusaka resources zilizomo barani mwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
hatujiamini kwa sababu tupo nyuma kimaendeleo karibu kwa kila kitu..
Kitu cha msingi kufanya ni kujitambua kabla ya kujivunia...hatujiamini kwa sababu tupo nyuma kimaendeleo karibu kwa kila kitu..
Sent using Jamii Forums mobile app