12 Marook
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 441
- 331
Kinshasa ni jiji hakuna kulsla.
Yetu macho.., tukiwa tunangoja mjibiwe maswali yenu
Maswali yenu huenda yamukuwa magumu mno kwa mtoa majibuYetu macho.., tukiwa tunangoja mjibiwe maswali yenu
Tulivofikiria sisi n kuwa eti jamaa amekimbia maswali, ametokomea kusikojulikana
Majibu wanayohitaji Ni muendelezo wa maswali mengine
Kusikojulikana ni sehemu halali ambayo wanaishi wasiojulikanaTulivofikiria sisi n kuwa eti jamaa amekimbia maswali, ametokomea kusikojulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudhuru na kuzuru huwa nashindwa kutamkaWasiojulikana ni watu wenye kudhuru !!
Karanga huongeza gesi tumboni ukila nyingi waweza vuna nashati mbadala !!