Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,115
- 6,827
kujivunia kilicho chetu hata kama hakina tija ndio asili yetu watu weusi..Kitu cha msingi kufanya ni kujitambua kabla ya kujivunia...
Sent using Jamii Forums mobile app
kujivunia kilicho chetu hata kama hakina tija ndio asili yetu watu weusi..Kitu cha msingi kufanya ni kujitambua kabla ya kujivunia...
Kujivunia kwa vitu tulivyo navyo kumetusaidia kutambulika kwa mataifa mengineKitu cha msingi kufanya ni kujitambua kabla ya kujivunia...
Watu weusi ni dalili ya baraka zake muumba !!kujivunia kilicho chetu hata kama hakina tija ndio asili yetu watu weusi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengine hayasemeki hadharani..Kujivunia kwa vitu tulivyo navyo kumetusaidia kutambulika kwa mataifa mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
hadharani hapafai wakati mwingine, sana sana unaweonekana hauna adabu.Mengine hayasemeki hadharani..
Adabu ya Kula na watu wazima/wazee ni kutopapukia minofu !!hadharani hapafai wakati mwingine, sana sana unaweonekana hauna adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
minofu ya nyuma ya wadada saizi ndio mitaji official..Adabu ya Kula na watu wazima/wazee ni kutopapukia minofu !!
Official you Man waombe radhi na msamaha...
Msamaha huombwa pale ambapo kitu kilichosemwa si sahihi..Official you Man waombe radhi na msamaha...
Msamaha atapata ila kwa sharti la kuomba akiwa amepiga magotiOfficial you Man waombe radhi na msamaha...
Sahihi kwako ni kudhihaki maumbili yaliyoumwa ktk takwimu maridhawa ???!!!!??
Magoti ni sehemu inayotumika Kila muda...
???!!!!?? Umashangaa ama unaulizaSahihi kwako ni kudhihaki maumbili yaliyoumwa ktk takwimu maridhawa ???!!!!??
Hivyo hivyo ushaambiwa magoti hutumika kila muda siyo lazima ukosee hata kumuomba Mungu
mungu kwanza mengine baadae..Hivyo hivyo ushaambiwa magoti hutumika kila muda siyo lazima ukosee hata kumuomba Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
msamaha ndio kila kitu..Unauliza kwani maishani hujawahi kuomba msamaha
Kitu cha ncha Kali kimeyayuka...