ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Nani atawafunga vyura 5-0
5-0 labda tungekuwa tunacheza na waarabu lakini siyo hawa watani wa jadNani atawafunga vyura 5-0
Watani wa jadi leo lazima kwa mchina pawake moto5-0 labda tungekuwa tunacheza na waarabu lakini siyo hawa watani wa jad
Sent using Jamii Forums mobile app
Waka Waka ni sifa pekee ya warembo..!!
Warembo wa siku hizi makeup zinawabebaWaka Waka ni sifa pekee ya warembo..!!
Zinawabeba kwa minajili ya Soko huria...
Zinawabeba kwa minajili ya Soko huria...
Hilo ni jina na lina maana mbili " huru (freedom) na samaki mtu (mermaid) Sasa ndg ABJ umenipata ,?
Imara ni nyumba iliyojengwa juu ya mwambaMark 2 Toyota ilikuwa gari imara