ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Sambaratika kwa wapinzani kumedhihirisha unyonge ...
Unyonge husababishwa na mambo mengi tunayokutana nayo katika maisha ya kila sikuSambaratika kwa wapinzani kumedhihirisha unyonge ...
Siku nikikutana na wewe nitathibitisha kama kweli hiyo avatar inadhihirisha sura yako!Unyonge husababishwa na mambo mengi tunayokutana nayo katika maisha ya kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Yako Kwani haiendani na hiyo avatar uliyoiweka?Siku nikikutana na wewe nitathibitisha kama kweli hiyo avatar inadhihirisha sura yako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliyoiweka wewe ndo nataka kujua, ila sura yangu haiendani na niliyoweka.
Niliyoweka mimi ilikuwa sarafu ya shs 200 kwenye kibuyuUliyoiweka wewe ndo nataka kujua, ila sura yangu haiendani na niliyoweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibuyu ni nembo ya waganga was jadi...
Mawazo ambayo baada ya ngono yanakurudia tenaManufaa ya ngono ni kupunguza msongo wa mawazo