captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Kiswahili Ni mpangilio wa sauti za nasibu.
Kiswahili Ni mpangilio wa sauti za nasibu.
Unaitwa halafu huitiki, hiyo ni dharau
Sifa ya kike hakika nasadiki
Nasadiki pia kua kamwe hii siredi haitokuja kupata mshindiSifa ya kike hakika nasadiki
Mshindi wa kombe la CAF ni bingwa Al-Ahly
Al-Ahly wako vizuri ila hawawawezi SimbaMshindi wa kombe la CAF ni bingwa Al-Ahly
Simba dume alikuwa Nyamaume...
Nyamaume ni akina naniSimba dume alikuwa Nyamaume...
Nani alitarajia Simba ya msimbazi kufungwa tano?Nyamaume ni akina nani
Tano sio nyingi kumi ndio balaaNani alitarajia Simba ya msimbazi kufungwa tano?
Balaa la Mcongo aheri ya masaibu ya Mmsri wa uarabuni..Tano sio nyingi kumi ndio balaa
Balaa la Mcongo aheri ya masaibu ya Mmsri wa uarabuni..
Tende ni tamu kama asali ya nyukiUarabuni hawatarudi bure kama Congo watarudi na halwa na tende
Tende ni tamu kama asali ya nyuki
asali ya nyuki ni tamu ila sasa kazi ya kuipata inakutaka uwe mtaalam kiasi chake
asali ya nyuki ni tamu ila sasa kazi ya kuipata inakutaka use mtaalam kiasi chake[/QUOTE]as
[Q
E="12 Marook, post: 30227468, member: 517729"]Tende ni tamu kama asali ya nyuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Chake chake changu chake mshangaeni huyu bwana[/QUOTE]asali ya nyuki ni tamu ila sasa kazi ya kuipata inakutaka use mtaalam kiasi chake
Bwana harusi anafuraha yenye kifani
Bwana harusi anafuraha yenye kifaniChake chake changu chake mshangaeni huyu bwana