Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 424
- 153
Wewe acha uoga ndugu yangu
Wewe acha uoga ndugu yangu
Sana Sana wengine watatukana humu
Hamjambo kabisa naona na juhudi zenu, nadhani bado nahemaHumu ndani hamjambo
"ᵀʰᵉ ᵒⁿˡʸ ˢᵒᵘʳᶜᵉ ᵒᶠ ᵏⁿᵒʷˡᵉᵈᵍᵉ ⁱˢ ᵉˣᵖᵉʳⁱᵉⁿᶜᵉ"
Nahema kwa kasi isio kua ya kawaidaHamjambo kabisa naona na juhudi zenu, nadhani bado nahema
Pasipo kuwa na nia safi hutofuzu
Hutofuzu kama hufati kanuni ya mchezo inabidi uanze na neno nililomalizia kwa mfano makgaaykzxmaiiiinwPasipo kuwa na nia safi hutofuzu
Mfano wako hujatambua nani mwanzilishaji wa uzi huu uliza ?Hutofuzu kama hufati kanuni ya mchezo inabidi uanze na neno nililomalizia kwa mfano makgaaykzxmaiiiinw
Sent using Jamii Forums mobile app
We usituaribie mchezo hujaliona neno langu la mwisho au? XahmbgajbaaamMfano wako hujatambua nani mwanzilishaji wa uzi huu uliza ?
au unapenda kuchonganisha bila kuwa na mantik ya maneno sahihi?We usituaribie mchezo hujaliona neno langu la mwisho au? Xahmbgajbaaam
Sent using Jamii Forums mobile app
bunju sokoni kunafananaje mkuu, sijawahi kufika kabisaXxhehdh yupi yule wa mabibo taka au bunju sokoni
Sent from my iPhone using JamiiForums
jomba napasikia tu, ila kufika bado ndo maana nauliza kulivyo ili ck moja nikija nisishangae sanaKabisa kabisa hata kupasikia unatania jomba
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jomba na wewe unatania aseee unavomshangaa mwenzioKabisa kabisa hata kupasikia unatania jomba
Sent from my iPhone using JamiiForums