Atkinson
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 560
- 1,444
mwenzio ashakula sasa hivi yupo kitandani anausubiria usingizi, ili alale kesho awe tayari kwa kuanza wiki nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
mwenzio ashakula sasa hivi yupo kitandani anausubiria usingizi, ili alale kesho awe tayari kwa kuanza wiki nyingine
Nyingine mpya ni ya Rais JPM kuwateua Majaji wa Mahakama Kuu na ya Rufanimwenzio ashakula sasa hivi yupo kitandani anausubiria usingizi, ili alale kesho awe tayari kwa kuanza wiki nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
mahakama kuu na ya rufani husikiliza kesi kubwa kubwa tuNyingine mpya ni ya Rais JPM kuwateua Majaji wa Mahakama Kuu na ya Rufani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kielezi kabisa wala hakuna utata wa kazi ya fasihi hapoTu hivi ni kielezi?
"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
Hapo sasa nimeelewa maana nilishavurugwa na vishaziKielezi kabisa wala hakuna utata wa kazi ya fasihi hapo
Vishazi tegemezi na vyenyewe ni muhimu kuelewaHapo sasa nimeelewa maana nilishavurugwa na vishazi
"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
Sokoni hakuna issue,labda pale msalabani pa mwokozi.Xxhehdh yupi yule wa mabibo taka au bunju sokoni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwokozi wenu ni kutenda yaliyo ya haki....Sokoni hakuna issue,labda pale msalabani pa mwokozi.
Mwokozi wenu ni kutenda yaliyo ya haki....
Mwisho hutafsiri undani wa malengo !!
Malengo ya ngu kushinda challenge ya hii sirediMwisho hutafsiri undani wa malengo !!
Siredi hii ya moto mno mkuu
Sana ni msanii mzuri
Vipodozi huondoa asilia
Kilivyoumbwa kiumbe aina ya mwanamke ni tofauti na alivyo baada ya kufika maturity stage
Stage maana yake nini kwa kiswahili?Kilivyoumbwa kiumbe aina ya mwanamke ni tofauti na alivyo baada ya kufika maturity stage