Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 424
- 153
Huu uungwana wa kudanganyana ifike mahali tuache
Huu uungwana wa kudanganyana ifike mahali tuache
Tuache vipi ilihali hatujui nini kimetokeaHuu uungwana wa kudanganyana ifike mahali tuache
Nini kimetokea ikulu jana, actually nilipenda maoni Mch. Kimaro wa KKKT
Kkkt kijitonyama aaaahhh Hebu nitumie ka clip kake nikaoneNini kimetokea ikulu jana, actually nilipenda maoni Mch. Kimaro wa KKKT
Marinda yanapotezwa sana siku hizi
Hizi ata bible yenyewe haikuzizungumziaMarinda yanapotezwa sana siku hizi
Haikuzizungumzia eti, kama hivyo biblia haijui kila kitu
Kitu kingine ambacho ilisahau ni kuusu wapenda kiki like HarmorapaHaikuzizungumzia eti, kama hivyo biblia haijui kila kitu
Kitu kingine ambacho ili sahau ni kuusu Babu wa LoliondoHaikuzizungumzia eti, kama hivyo biblia haijui kila kitu
Loliondo kumesahaulika kabisa
Kabisa yaani, hivi ule Babu bado yupo?Loliondo kumesahaulika kabisa
Yupo nadhani
Alipo siwezi kueleza hapa
hapa jukwaani kuna member wengi wamepoteaAlipo siwezi kueleza hapa
Wamepotea na kwenda kusiko julikana
Julikana?Hapana wasiojulikana bado wapo machimboni,sijui nani atafatia.Wamepotea na kwenda kusiko julikana
Atafatia tu yule watakaetaka wenyewe afatie.Julikana?Hapana wasiojulikana bado wapo machimboni,sijui nani atafatia.