Jendahyeka 01
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 212
- 166
Kimekuchanganya kumkuta na @ yellow eyes kuendelea na sentesi
Sentensi inabidi ziendelee tu maana hakuna namnaKimekuchanganya kumkuta na @ yellow eyes kuendelea na sentesi
Mwisho upo tu,cha msingi ni kuvumilia.
Kuvumilia ndo kutakufanya ule mbivuMwisho upo tu,cha msingi ni kuvumilia.
Siku zinasonga na serikali ya jk inazid kuonyesha udhaifu.
Dhaifu ni rahisi sana kuyetelekaUdhaifu unaopelekea shilingi yetu kuzidi kuwa dhaifu
Sent from my iPhone using JamiiForums