bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Mgumu mwanzo mwishoni mteremko
Dar ni eneo ambalo lina mabadiliko makubwa yanayopunguza wakazi
Wakuja wakikaa wiki mbili wanajifanya wazawawakazi wengi wa Dar ni wakuja
Wazawa ni rahisi sana kuwafahamuWakuja wakikaa wiki mbili wanajifanya wazawa
Kuwafahamu inabidi utambue na style zao
Zao la korosho litalimwa kweli kwa mwaka huuKuwafahamu inabidi utambue na style zao
Huu ni uzalendo wa hali ya juu sana
Sana hasa kuuendeleza huu uzi wa kumtafuta mshindiHuu ni uzalendo wa hali ya juu sana
Huu usemi wa pale kazi tuu, unasababisha vijana wetu wajile kusini pale
Pale kusini kuna jamaa yangu aliuza Opa yake hela akaitia kwenye korosho mpaka Sasa anajuta kufaham jiweHuu usemi wa pale kazi tuu, unasababisha vijana wetu wajile kusini pale
Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe la msingiPale kusini kuna jamaa yangu aliuza Opa yake hela akaitia kwenye korosho mpaka Sasa anajuta kufaham jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Msingi ni elimu ya pili baada ya ile ya awaliJiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe la msingi