bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Mwisho ni pale wewe, mimi na yule tutakapoacha kutupia kitu kwenye uzi huuIwezekanavyo? Basi huu uzi hautafika mwisho
Mwisho ni pale wewe, mimi na yule tutakapoacha kutupia kitu kwenye uzi huuIwezekanavyo? Basi huu uzi hautafika mwisho
Huu sasa ni utumwa wa kuchangia uzi bila kuwa na mada maalumMwisho ni pale wewe, mimi na yule tutakapoacha kutupia kitu kwenye uzi huu
Mada maalum, rudi mwanzo wa mada "Wa mwisho ndiye mshindi"Huu sasa ni utumwa wa kuchangia uzi bila kuwa na mada maalum
Mshindi wa nini sasa, mi nishachoka bwana tuache kushindanaMada maalum, rudi mwanzo wa mada "Wa mwisho ndiye mshindi"
Kushindana na bwana na hasa baada ya kushiba kama ulivyofanya, kweli kunachosha!Mshindi wa nini sasa, mi nishachoka bwana tuache kushindana
Kunachosha kukimbizana na marefu yasiyo na nchaKushindana na bwana na hasa baada ya kushiba kama ulivyofanya, kweli kunachosha!
Ncha ya wembe kali zaidi kuliko ya upangaKunachosha kukimbizana na marefu yasiyo na ncha
Upanga wanakaa watu wazitoNcha ya wembe kali zaidi kuliko ya upanga
Wazito kufikiri ndio wazito kuelewa piaUpanga wanakaa watu wazito
Pia Ni mchezo wa ajabu sanaWazito kufikiri ndio wazito kuelewa pia
Sana nadhani ni msanii mzuri aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa Kwaheri wa JuacaliPia Ni mchezo wa ajabu sana
Juacali na ngeri ya gengeSana nadhani ni msanii mzuri aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa Kwaheri wa Juacali
Wake zenu mitaani wanaponzeka kivipi?Genge linawaponza wake zenu mitaani
Kivipi? Kwani hujui hawalipiagi matundaWake zenu mitaani wanaponzeka kivipi?
Matunda acheni wapewe na wauza genge maana waume zao hawawapi hela ya kutoshaKivipi? Kwani hujui hawalipiagi matunda
Hawawapi hela ya kutosha au hamridhikiMatunda acheni wapewe na wauza genge maana waume zao hawawapi hela ya kutosha
Hamridhiki hata nyie ndio maana kutwa kucha mnachepukaHawawapi hela ya kutosha au hamridhiki
Mnachepuka nyie,sisi tuliumbwa kawa na wake wengi pamoja na masuriaHamridhiki hata nyie ndio maana kutwa kucha mnachepuka