Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Masuria yanawachuna tu, mkirudi kwa wake zenu hamna haliMnachepuka nyie,sisi tuliumbwa kawa na wake wengi pamoja na masuria
Masuria yanawachuna tu, mkirudi kwa wake zenu hamna haliMnachepuka nyie,sisi tuliumbwa kawa na wake wengi pamoja na masuria
Hali sio shwari ndio maana kila mtu analalamika.Masuria yanawachuna tu, mkirudi kwa wake zenu hamna hali
Analalamika lakini hakuna wa kumsikilizaHali sio shwari ndio maana kila mtu analalamika.
Analalamika lakini hakuna wa kumsikiliza
SGR imetuweka watanzania kwenye right trackKumsikiliza bwege na limbukeni wa madaraka na aina yeyote ile ni umama wa kiwango cha SGR
SGR imetuweka watanzania kwenye right track
Tuendako tutafika tu maana asiyejua aiendako, kamwe hapoteiTruck lenyewe injini imenock na spring zimekata hatujui tutafikaje tuendako
Kamwe Hapotei anaewekeza CCM, madaraka hayakupiti kwani ni swala la muda tuTuendako tutafika tu maana asiyejua aiendako, kamwe hapotei
Muda tu ukifika hata wewe kumbe utakuwa kiongoziKamwe Hapotei anaewekeza CCM, madaraka hayakupiti kwani ni swala la muda tu
Kiongozi wa baadae ndio Mimi, na first lady ni ThadMuda tu ukifika hata wewe kumbe utakuwa kiongozi
Thad utamuweza kwa uoga na uzito wa kufanya maamuzi, tafuta mwingineKiongozi wa baadae ndio Mimi, na first lady ni Thad
Mwingine simtaki, acha wivu, usijibu tena hadi aje thadThad utamuweza kwa uoga na uzito wa kufanya maamuzi, tafuta mwingine
Madame B aje kufanya nini, mwenye kisu kikali ndo mla nyama

"Online!"Madame B aje kufanya nini, mwenye kisu kikali ndo mla nyama![]()
Shemeji yako nani?"Online!"
Nyama kumbe ni kula tu? Kwahiyo itakuwa shemeji?
Nani anapinga kwamba uzi huu hauna mwisho!Shemeji yako nani?
Mwisho wake ni leoNani anapinga kwamba uzi huu hauna mwisho!
Leo ni siku ya Ijumaa, wengine wanasema ni mwanzo wa wiki endiMwisho wake ni leo