bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Kimziki na bongo muvi vijana wengi "wanatoka". Jamani Wambuzi "kafufuka"🙄Nini hasa kinahitajika ili mtu ufanye vizur kimziki
Kimziki na bongo muvi vijana wengi "wanatoka". Jamani Wambuzi "kafufuka"🙄Nini hasa kinahitajika ili mtu ufanye vizur kimziki
Kafufuka haleluya wambuzi nawe ni noma, tangu umeanzisha huu uzi leo ndiyo umejitokezaKimziki na bongo muvi vijana wengi "wanatoka". Jamani Wambuzi "kafufuka"![]()
Umejitokeza leo ku comment halafu unataka uwe mshindi ?, haiwezekaniKafufuka haleluya wambuzi nawe ni noma, tangu umeanzisha huu uzi leo ndiyo umejitokeza
haiwezekani nasema haiwezekaniUmejitokeza leo ku comment halafu unataka uwe mshindi ?, haiwezekani
Haiwezekani ni neno lililopo kwenye wimbo wa CCM ulioimbwa na KOMBAHa
haiwezekani nasema haiwezekani
komba kaimba nini kwenye huo wimbo.Haiwezekani ni neno lililopo kwenye wimbo wa CCM ulioimbwa na KOMBA
Wimbo ulikuwa unasikika eeeh eh eh eeeeh haiwezekani, nadhani nimekumbukakomba kaimba nini kwenye huo wimbo.
Nimekumbuka mengi 2015 kipindi cha kampeniWimbo ulikuwa unasikika eeeh eh eh eeeeh haiwezekani, nadhani nimekumbuka
Kampeni ziliganya Ruten kanali wetu mstaafu, apigwe mtamaNimekumbuka mengi 2015 kipindi cha kampeni
Uwele na mtama yote ni mazao yanayostahimili ukameMtama au uwele..?!
Gari aina gani ni nzuri?Ndoano ya wadada ni gari
Nzuri ni nissan patrol nyeupeGari aina gani ni nzuri?
nyeupe peeeeNzuri ni nissan patrol nyeupe
Basi yatoshaPeeee ya basi
Basi tufunge huu uziPeeee ya basi