yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Uzi huu hunifanya nijtahdi kuwa wa mwisho ili nikushinde wewe Thad
Thad huweze kumshinda unajisumbua bureUzi huu hunifanya nijtahdi kuwa wa mwisho ili nikushinde wewe Thad
Ujue sasa hivi ni asubuhi, twende kukimbizana na shilingibure ni aghali ujue??
Shilingi inayomtesa ben pol na Stereo ndo yanitesa piaUjue sasa hivi ni asubuhi, twende kukimbizana na shilingi
Pia tukumbuke kuwatendea wema wenzetu kwani wema ni akibaShilingi inayomtesa ben pol na Stereo ndo yanitesa pia
Akiba haioziPia tukumbuke kuwatendea wema wenzetu kwani wema ni akiba
Haiozi ukiiweka vizuriAkiba haiozi
Vizuri kujinyima wakati wa raha ili ikufae wakati wa shidaU
Haiozi ukiiweka vizuri
Shida ni kama ngozi kila mtu anayoVizuri kujinyima wakati wa raha ili ikufae wakati wa shida
Shida ni kama ngozi kila mtu anayo
Mpya nayo itakuwa kongweAnayo kweli, maana anavowaringishia wenzake lazima anayo mpya.
Kongwe ni mpya ya zamani bila shakaMpya nayo itakuwa kongwe
Shaka ondoeni, pamoja na kusuasua uzi huu tutaenda naoKongwe ni mpya ya zamani bila shaka
Nao utaenda na sisi?Shaka ondoeni, pamoja na kusuasua uzi huu tutaenda nao
Sisi ndio tutaenda naoNao utaenda na sisi?
Tutaenda nao mpaka lini?Sisi ndio tutaenda nao
Lini, hilo si tatizo kwa kadri iwezekanavyoTutaenda nao mpaka lini?
Iwezekanavyo? Basi huu uzi hautafika mwishoLini, hilo si tatizo kwa kadri iwezekanavyo