yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Endi unaweza iandika pia "End"Leo ni siku ya Ijumaa, wengine wanasema ni mwanzo wa wiki endi
Endi unaweza iandika pia "End"Leo ni siku ya Ijumaa, wengine wanasema ni mwanzo wa wiki endi
"End" sio neno la kiswahiliEndi unaweza iandika pia "End"
Kiswahili ni lugha rasmi kwa Taiga letu"End" sio neno la kiswahili
Taifa letu na imependekezwa iwe lugha ya Afrika.Kiswahili ni lugha rasmi kwa Taiga letu
Wazuri hawajazaliwa!Africa, Africa bara la watu wakarimu, watu wazuri
Wazuri hawajazaliwa!
Hawajazaliwa wakina nani? Mbona kitaa wapo wengi wanatuvunja shingo kugeuka kuangalia uumbajiWazuri hawajazaliwa!
Uumbaji tu huo ila amini nakuambia wazuri bado hawajazaliwa.Hawajazaliwa wakina nani? Mbona kitaa wapo wengi wanatuvunja shingo kugeuka kuangalia uumbaji
Hawajazaliwa wenye uzuri upi, umbo, tabia, sura?Uumbaji tu huo ila amini nakuambia wazuri bado hawajazaliwa.
Sura, umbo na tabia hukamilishwa ma uzuri wa roho!Hawajazaliwa wenye uzuri upi, umbo, tabia, sura?
Sura ata mbuzi anayo, ila si tunatizama wowowo..Hawajazaliwa wenye uzuri upi, umbo, tabia, sura?
Uzuri wa roho hujenga tabia nzuri ya mtuSura, umbo na tabia hukamilishwa ma uzuri wa roho!
Mtu na binadamu nini tofauti yao?Uzuri wa roho hujenga tabia nzuri ya mtu
Tofauti yao, mtu ni kati ya binadamu lakini mwenye utu na binadam ni bin Adam, yaani watoto wa AdamMtu na binadamu nini tofauti yao?
Watoto wa Adam kwa kingereza wanaitwaje?Tofauti yao, mtu ni kati ya binadamu lakini mwenye utu na binadam ni bin Adam, yaani watoto wa Adam
Mmmmh!!! kweli rafiki...!!!Uumbaji tu huo ila amini nakuambia wazuri bado hawajazaliwa.
Aiseee ni kamaAisee!!